Posts

Showing posts from May, 2024

Milambo High School

 

List of students selected to join Form Five (TAMISEMI) Form five Selection 2024/2025):

Image
        Click the link below to view form five selection 2024.                                                                                                                                                                               https://selform.tamisemi.go.tz/content/selection-and-allocation/2024/first-selection/index.html  

Tahasusi zinazopatikana shule ya MILAMBO SEKONDARI

Image
Shule ya sekondari Milambo ni miongoni mwa shule kongwe kwa mkoa wa TABORA pia Tanzania kwa ujumla. Shule hii ni shule ya Bweni na shule ya wavulana tu yenye kidato cha Tano na Sita kwa Tahasusi mbalimbali za sayansi na  sanaa.  Tahasusi hizo ni kama zifuatazo: PCB ,PCM ,PGM ,EGM, CBG, HKL, KLF, HGLi, HGE. Shule hii imekua ikifanya vizuri katika mitihani mbalimbali ya ndani pia njee , pia ni shule pekee miongoni mwa shule za sekondari ya juu zinazofundisha lugha ya kifaransa pia kutoa waatalamu wa lugha ya kifaransa. Pia shule hii ilishatoa mwanafunzi bora kitaifa kwenye somo la kifaransa JAMAL NDURUBUSA 2020 January.

Historia ya Shule ya Sekondari Milambo

Image
Karibu shule ya secondari Milambo iliyopo Mkoa wa Tabora , manispaa ya Tabora , kata ya chemchem. Shule hii ilianzishwa mwaka 1927 ikifahamika kwa jina la ST. MARY'S SCHOOL na kupewa namba 4 ya usajili chini ya kanisa Katoliki JIMBO KUU la Tabora na baadae Mwaka 1971 ikabadilishwa jina na kuitwa MILAMBO SECONDARY SCHOOL. Mamia kwa maelfu ya wanafunzi wamesoma hapa.