Tahasusi zinazopatikana shule ya MILAMBO SEKONDARI

Shule ya sekondari Milambo ni miongoni mwa shule kongwe kwa mkoa wa TABORA pia Tanzania kwa ujumla. Shule hii ni shule ya Bweni na shule ya wavulana tu yenye kidato cha Tano na Sita kwa Tahasusi mbalimbali za sayansi na  sanaa. 

Tahasusi hizo ni kama zifuatazo:

PCB ,PCM ,PGM ,EGM, CBG, HKL, KLF, HGLi, HGE.


Shule hii imekua ikifanya vizuri katika mitihani mbalimbali ya ndani pia njee , pia ni shule pekee miongoni mwa shule za sekondari ya juu zinazofundisha lugha ya kifaransa pia kutoa waatalamu wa lugha ya kifaransa.
Pia shule hii ilishatoa mwanafunzi bora kitaifa kwenye somo la kifaransa JAMAL NDURUBUSA 2020 January.

Comments