Historia ya Shule ya Sekondari Milambo


Karibu shule ya secondari Milambo iliyopo Mkoa wa Tabora , manispaa ya Tabora , kata ya chemchem. Shule hii ilianzishwa mwaka 1927 ikifahamika kwa jina la ST. MARY'S SCHOOL na kupewa namba 4 ya usajili chini ya kanisa Katoliki JIMBO KUU la Tabora na baadae Mwaka 1971 ikabadilishwa jina na kuitwa MILAMBO SECONDARY SCHOOL. Mamia kwa maelfu ya wanafunzi wamesoma hapa.



Comments